Manasse
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 352
- 241
"MY OUTLOOKs"
* * * * * * * *
"Jan/25/2016
*Kuna Jambo Moja Ambalo Watu Bado Hatujalifahamu Japo Kila Siku Tunahitaji Kuwa Matajiri.
*Wengi Tumeishia Kujiweza Tu Kwa Kukosa Dondoo Ya Msingi Sana Ambayo Itatufanya Mimi Nawe Tutoke Kwny Umasikini, Tupite Daraja La Kujiweza (Welloff People) Na Tufike Kwny Ngazi Kubwa Kabisa Ya Utajiri.
NISEME JAMBO DOGO HAPA:
*Uchumi Wa Dunia Hauko Hewani Kama Wengi Tudhanivyo, Uchumi Wa Dunia Hii Umeshikwa Na Falme Mbili Za Kiroho Ambazo Ni,
1. Mungu (Jehova/Allah)
2. Shetani (Lusifa)
Hizi Ndizo Falme Ambazo Zimeshika Hii Dunia Ktk Nyanja Zote Unazozifahamu Na Zile Usizozifahamu Ndugu Yangu Wewe Ambaye Kila Siku Unahitaji Utajiri.
UFANYE NINI UTAJIRIKE:
*Kama Unasoma Makala Hii Na Unajiona Unafaa Kuwa Tajiri Na Unahitaji Kuwa Tajiri, Kubali Kushika Na Kuabudu Ufalme Wa Mungu Au Wa Shetani Na Si Vinginevyo. Siku Utakayoamua Kusimama Imara Ktk Moja Ya Falme Hizo Bila Kuwa Vuguvugu, Basi Ni Wazi Kwmb Unajitengenezea Njia Ya Kuwa Tajiri Maishani Mwako.
*Ukisoma Vitabu Vya Mungu Utakutana Na Matajiri Wakubwa Wa Zama Zile Na Miongoni Mwao Walimtegemaea Mungu Na Wengine Walimtegemea Shetani Lakn Wote Walikuwa Matajiri.
>Mfalme Ayubu Aliepatwa Na Majipu Mwili Mzima, Mfalme Suleman Na Wengineo Kama Hao, Walikuwa Matajiri Kwa Kumtegemea Mungu.
>Mfalme Herode, Pilato, Farao(Firauni) Walikuwa Matajiri Kwa Kumtegemea Shetani.
Mfanoa Hapo Juu Unadhihirisha Kwmb Kila Mmoja Alipata Utajiri Kutokana Na Ufalme Anaoabudia Yeye Na Si Vinginevyo.
UFALME NI NINI?
*Ufalme Ni Ngome, Ni Kinga, Ni Dolla Ambayo Uwapo Ndani Yake Utapata Maelekezo Ya Kila Namna Na Kinga Za Kukulinda Na Maadui Zako.
Falme Huwa Zinampa Mtu Macho Ya Kuona Zuri Au Baya Na Kumpatia Muhusika Kinga Dhidi Ya Maadui.
JIULIZE:
*Leo Hii Hapo Ulipo, Unamiliki Chumba Cha Kupanga Na Sofa Mbili Nyeusi Lakn Majirani Na Wengine Ni Ndugu Wa Damu Tunakupiga Majungu Na Tunapenda Uanguke Coz Unajifanya Unapesa, Lkn Kumbe Dada Yangu, Kaka Yangu Wala Huna Shida Na Mtu.
Sasa Ebu Jiulize Matajiri Wakubwa Wanaokuzunguka Wanakinga Kubwa Kiasi Gani?!.
*Matajiri Unaowafahamu Wewe Wanafanya Ibada Kubwa Sana Ktk Moja Ya Falme Hizi Na Huwa Wanatoa Sadaka Kulingana Na Maelekezo Ya Ufalme Anaoabudia. Falme Zote Zinapenda Kuabudiwa, Kutukuzwa Na Zinahitaji Sadaka. Maana Na Dhumuni La Sadaka Ni Kuweka Unganiko (Link) Kati Ya Wewe Na Ufalme Na Njia Zako Za Kiuchumi, So Hakuna Ufalme Usiotolewa Sadaka Bila Kujali Sadaka Hizo Ni Za Namna Gani Kwa Ufalme Upi.
*Dada Yangu, Kaka Yangu, Soma Sana Vijarida Vya Ujasiliamali, Soma Mpaka Uwe Sijui Na Ma Phd Na Manini Sijui, Udhuria Sana Semina Za Ujasiriamali Lakn Mwisho Wa Siku Kama Hutosimama Imara Kati Ya Moja Ya Falme Hizi, Utaishia Kujiweza Tu Kwa Kumiliki "Carina Ti" Na Nyumba Ya Kawaida Sana Na Hata Hivyo Uko Mbioni Kuvipoteza Maana Huna Kinga Ya Kuvilinda.
Mungu Au Shetani Anapokupa Kitu, Huwa Anakupa Na Kazi Ya Kukilinda.
*Utakutana Na Watu Watakwmbia Mimi Nilianza Kuuza Karanga Leo Nina Fuso6 Na Scania20 Lakn Hatokwambia Ni Upi Ufalme Anaoabudia.
Asikwambie Mtu, Utajiri Hutoka Kwa Mungu Au Shetani Japo Kazi Ni Lazima Tufanye Ili Kuweka Misingi Ya Kipato.
NB: CHAGUA MOTO AU BARIDI, USIWE VUGUVUGU.