Inabidi serikali iandae midahalo na mijadala ya wazi kuhusu namna gani elimu yetu inatakiwa kusonga mbele siyo kila waziri akiiingia wizara ya Elimu anakuja maagizo yakeLeo Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya wafanya kazi dunia, hapa tanzania kitaifa yamefanyika Dodoma, katika mabango yalopita mbele ya mgeni rasmi rais wa JMT Dr. Magufuli liliandikwa "ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI ZIRUDISHWE WIZARA YA ELIMU"
NB: kwa sasa ziko Ofisi ya Raisi - TAMISEMI
Jilijua tuJ. Mhagama apuguze mhemuko wa kidini. Sio Sio mkutano wa kanisa, Ni sherehe ya watanzania wa imani wote.
Kafanya nini kwani???J. Mhagama apuguze mhemuko wa kidini. Sio Sio mkutano wa kanisa, Ni sherehe ya watanzania wa imani wote.
Ulojua lip ?Jilijua tu
Salamu yesu asifiwe, bwana yesu asifiwe, yeye kajiita paroko, magufulli askofu. Na .mc kila Baada ya neno utamsikia akisema yesu wangu. Mambo gani hiyo, acheni mambo ya udini. Mkutano huo Ni watanzania wa imani zote
Mambo magumu, sasa ndo wanakotaka kujifichia kwe ukatoliki, si umemsikia Ndugu Pengo anasema mumwombee maguSalamu yesu asifiwe, bwana yesu asifiwe, yeye kajiita paroko, magufulli askofu. Na .mc kila Baada ya neno utamsikia akisema yesu wangu. Mambo gani hiyo, acheni mambo ya udini. Mkutano huo Ni watanzania wa imani zote
Salamu yesu asifiwe, bwana yesu asifiwe, yeye kajiita paroko, magufulli askofu. Na .mc kila Baada ya neno utamsikia akisema yesu wangu. Mambo gani hiyo, acheni mambo ya udini. Mkutano huo Ni watanzania wa imani zote
Walitaka aongezee takbirrrrrr.....Hebu tulizana dogo, Jenista ameanza na Asalam Walyekhum....ndio akaendelea na salamu za dini zingine
😀😀 mama parokoJ. Mhagama apuguze mhemuko wa kidini. Sio Sio mkutano wa kanisa, Ni sherehe ya watanzania wa imani wote.