May be true

Hii kweli ulaya wala hazina mlinzi wa kufuli au kufunga na kiguzo lakini njoo hapa bongo balaa au ni laana maana viatu tu unaebiwa tena kwenye nyumba za ibada
 
Hii kweli ulaya wala hazina mlinzi wa kufuli au kufunga na kiguzo lakini njoo hapa bongo balaa au ni laana maana viatu tu unaebiwa tena kwenye nyumba za ibada

nani kakwambia hapo wapo mtaani tena vibaskeli vya bei rahisi ndio maana wamejiachia hata bongo mkiwa mtaani baskeli unaweza kuacha barabarani huko ulaya kuna nguzo special za baiskeli town centre lazima uifunge usipofunga wanaiba! wanaiba baiskeli kinoma huko.



hizo hapo usipofunga wanaiba faster....zina bei kubwa kuliko USED CARS!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…