Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,501 Reaction score 167,108 Jun 9, 2012 #1 Hizo ndio nyeti zilizonifikia hivi punde kutoka kwa makomandoo na vigagula wa Jangwani. Kinachosubiriwa tu, ni Manji akabidhiwe uenyekiti wa klabu
Hizo ndio nyeti zilizonifikia hivi punde kutoka kwa makomandoo na vigagula wa Jangwani. Kinachosubiriwa tu, ni Manji akabidhiwe uenyekiti wa klabu
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,021 Reaction score 42,623 Jun 10, 2012 #2 Aje kuifundisha timu bora Afrika. Yanga tuna ela bhana
by default JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 839 Reaction score 216 Jun 10, 2012 #3 ALEYN said: Aje kuifundisha timu bora Afrika. Yanga tuna ela bhana Click to expand... na bongo movie wameletewa msanii
ALEYN said: Aje kuifundisha timu bora Afrika. Yanga tuna ela bhana Click to expand... na bongo movie wameletewa msanii
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Jun 10, 2012 #4 Ndio maana mkuu wa kaya kila alipokwenda Brazil tulizani anaiwakilisha nchi kumbe kuongea na Maximo. Huyu dingi apewe 2 uraia. madem wa bongo wamemdatisha.
Ndio maana mkuu wa kaya kila alipokwenda Brazil tulizani anaiwakilisha nchi kumbe kuongea na Maximo. Huyu dingi apewe 2 uraia. madem wa bongo wamemdatisha.