Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
toka alipoingia Kikwete madarakani ghafla nimeichukia Yanga
Hii nimeipata Michuzi Blog. Soma hapa:
MICHUZI: BREAKING NYUZZZZZZZ........: Marcio Maximo kutua Yanga
Maoni: Yusuph Manji ameanza kuonesha makucha yake. Tutegemee makali zaidi.
Coaches/team managers are hired to be fired, don't you no that?
Unazungumzia pasi tano...ni wazi kuwa hukuwahi kuitazama Taifa stars hapo kabla...Uliza game la Taifa stars na Ghana pale Nairobi mwaka 2001,pia ulizia soka lilochezwa pale Mwanza wakati wa Cecafa ya 2002.Maximo alipewa kila kitu lakini sikuwahi kuona mpira wowote zaidi ya hamasa tu.kabla ya maximo kuja, je tz mlikuwa mnaweza piga pasi ata 2 tu! lazima tumkubali alibadilisha soka la bongo kwa kiasi kikubwa sana!
Can you tell us what he did specifically?Did we lift the Cecafa cup?Did we make it to the AFCON tournament?Did we make it to the world cup?Under him we only qualified for the CHAN tournament out of sheer lucky considering the way we were playing.Outplayed in all the matches...Nothing to write home about this coach considering the goodwill and resources poured into our team by then.Are you serious doubting what Maximo has done to our Taifa stars? Serious?:A S 20:
hata uwe fundi wa kupiga ngoma dunia nzima huwezi kumfanya mende akatike viuno!!!!kandambili hata aletwe nani kwa mnyama ni kichapo tu na ndoo habebi!
wivu wa kike we kama huna hela si useme,.
toka alipoingia Kikwete madarakani ghafla nimeichukia Yanga
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani
Kwani si sawa kuna tatizo gani akiwa kama mwanachama kujitolea kwenye timu yake,inakuuma sana?Kuna mkono wa Kikwete.
kama wa mamako!iunatoa siri za mamako kama babako akikosa pesa anatembea na wanaume wa nje!
Can you tell us what he did specifically?Did we lift the Cecafa cup?Did we make it to the AFCON tournament?Did we make it to the world cup?Under him we only qualified for the CHAN tournament out of sheer lucky considering the way we were playing.Outplayed in all the matches...Nothing to write home about this coach considering the goodwill and resources poured into our team by then.
So how do you measure success in football?Tatizo haujui historia ya mpira wa Tanzania,inaonekana wewe ni mmoja wa watu walioanza kushabikia mpira kwa ile 'homa ya Jk' ya 2006.kwa taarifa yako Maximo pamoja na kuwa kocha ambae alipewa kila aina ya support bado hakufanya lolote la ajabu...we have seen better results.Hakutukuta kwenye our worst FIFA ranking na wala hakutupeleka kwenye our best ranking.Jiulize kama ni kocha mzuri mbona toka atoke huku kwetu zaidi ya miaka mitatu sasa hajapata timu mpaka anataka kurudi kwetu?So, wewe unaangalia kulift tu cups, huh? Do you remember alivyotukuta tulikuwa tuna-rank wa ngapi Fifa? na alituacha wa ngapi na sasa wa ngapi? I now believe that We Tanzanians are so hard to appreciate. :angry:
Hii nimeipata Michuzi Blog. Soma hapa:
MICHUZI: BREAKING NYUZZZZZZZ........: Marcio Maximo kutua Yanga
Maoni: Yusuph Manji ameanza kuonesha makucha yake. Tutegemee makali zaidi.
Yanga ikipata ubingwa wa Afrika, ni fahari kwa Tanzania, lakini ikiifunga Simba ni fahari yao peke yao na itakuwa wamelipiza kisasi tu.Kudadeki lazima simba wapakatwe chezea pesa wewe.Manji tunakutakia maisha marefu.Ubingwa wa Afrika huo unanukia
So, wewe unaangalia kulift tu cups, huh? Do you remember alivyotukuta tulikuwa tuna-rank wa ngapi Fifa? na alituacha wa ngapi na sasa wa ngapi? I now believe that We Tanzanians are so hard to appreciate. :angry: