Maximo Kocha Mpya Yanga

Maximo Kitu gani bwana Yanga hata aje Morinyo na Sir Feg hakuna kitu,
 

Nani kakwambia huwakumbuki kina Kigi(mmejifanya kumchukua wakati keshaisha) umelisahau lile Chama lililowatoa jasho kina Etoo kule Younde,kwa taarifa yako ameandaliwa bonge la mchanganyiko, damu changa+damu ya wastani i.e. Simon Msuva,David Luhende,Juma Abdul,Kiiza,Chikwarakwara,Owen Kasule etc....kudadadeki Yanga mwakani kama T.P Mazembe
 
NI VIZURI TUKAJIKUMBUSHA KUWA, MAXIMO ALIKUWA AKIKAA NA TIMU YA TAIFA KWA CHINI YA WIKI MBILI KWA WASTANI, MARA CHACHE SANA KWA MWAKA.

Kama kweli akija Yanga, atakuwa na yanga kwa muda mwingi sana na hivyo ndoto ya kuliendeleza soka kukua kwa kasi. Kitendo cha Rage wa simba kufoka sana kwa HASIRA katika vyombo vya Habari, ni dalili mbaya kwa SIMBA Kwani Rage anaheshimika sana na ni mtu makini ambaye hudharau mambo yasiyo na maana.

Wiki hii rage amedhihirisha kuwa, YANGA Inaweza fanya KUFURU Msimu ujao. "Stay tuned".
 
kila la kheri timu yangu Yanga.....ntakupenda jinsi ulivyo,hata ukifungwa magor 100,ntabaki na wewe
 
Kweli kipigo cha tano bila si mchezo,mnaweweseka hadi sasa hadi mmeamua kuvunja timu kuanzai uongozi hadi wachezaji, isije kuwa mbwembwe za uchaguzi, maana hata mwaka jana ilikuwa hivi hivi, Asamoah, Kiiza na Fabrigas lakini matokeo yake hata nafasi ya tatu hamkupata, jitahidini kusajili maana JKT ruvu na Azam wanawasubiri na sisi tunakuja kumalizia na kina Kigi Makasi hao hao mliowaacha, hukumbuki Amir, Banka mlivyowaacha kwamba viwango vimeisha lakini baada ya kusajiliwa na Simba viwango vyao vilikuwa ni vya hatari.
 
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani
maximo hana jipya hapo sasa ni kutaka kuwapa ujiko makocha wa kibongo maana wataonesha sasa kile walichokuwa wanakidai tutafungwa hadi na oljolo
 
Unawivu namna hiyo kudadeki mimba inawahusi mwaka huu mtakula 9 kama miezi mnayobebaga
Sema hivi fisadi tunakutakia maisha marefu.....ama kweli mwanaume alie mbaka mama yako ndiyo ukazaliwa utake usitake utamwita baba tu....hahahah
 
Bana eeeeeee,hili ni likisosi la"manichesta"au?
Mkuu unataka kusababisha huyu simba wa maonyesho ajitoe lol!
 
Kama hawataki kuukubali ukweli wapotezee mkuu!mimtu inavichwa vigumu kama nazi lol!
 
Ukiiga kunya kwa tembo...............
 
Nyie sajilini sie vitendo uwanjani hata akija masikio hana jipya si alikuwepo kwetu wakawaida xana
 
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani

Are you serious doubting what Maximo has done to our Taifa stars? Serious?:A S 20:
 
Vile vizee vya yanga ameshavipa posho? maana vitazua mgogoro sasa hivi, vikiona tu hakuna maslahi vitateka timu
 

Kama ni haya maboga pori basi safari hii mkae mkao wa kupakatwa 7-0
 
Maximo hana lolote nawala Yanga isidhani ndo imepata mwarobaini wa matatizo yake kisoka
 
Jamani eti kweli Maximo huko kwao ni mvuvi wa samaki? Kama wale wa pale ferry! Yanga mnatuletea wavuvi? Ni lazima mchabangwe tena na maximo na manji wenu.
 
Jamani huyu manji da jaman,. Wacha nikaongeze lijezi la nne la yanga,. Mtani huniwezi we unaela za kununua penat3 ukicheza na yanga,. Umeishiwa ukaenda sudan wachezaj wakashindia maziwa ya ngamia na ugali,. Ukarudi bongo ukala hela ya rambirambi da simba mmefuria,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…