Ndo hivyo ndugu...leo hii ameshakua mbaya?si tulimpokea kwa matarumbeta pale airport?
Inafungwa Barca,Bayern na timu zingine kubwa itakuja kuwa wafukuza upepo wa mgongo wazi?Acheni ujinga mkifungwa lazima mlete fujo .Mchezaji mjinga unampiga mtu kichwa usionyeshwe kadi nyekundu??
... na Simba haijashinda hata mechi moja lakini Phiri yupo tu anakula nchi!
Haijashinda na haijashindwa...!!! Mwache ale nchi
Ukifanya hesabu hii unaweza ukagundua kitu, fanya hivi; 3 zidisha kwa 6=18, halafu 18-6=12, then 12 gawanya kwa 3=4, hivyo tafsiri yake ni kwamba timu ya simba imepoteza michezo 4 kati ya michezo 6 iliyocheza....Haijashinda na haijashindwa...!!! Mwache ale nchi
Ndo hivyo ndugu...
kama sisi tulivyokuwa tunamshangilia phiri pale airport kumbe alikuja kutuwekea rekodi ambayo haijawahi kutokea duniani ya timu kutoa sare mechi sita mfululizo....
Ukimchekea nyani utavuna mabua, kajifunze maana ya maneno hayo.
Tangu lini wachaga wakajua kiswahili mpaka ajue maana ya maneno hayo!!!!!!Ukimchekea nyani utavuna mabua, kajifunze maana ya maneno hayo.
Mi nilidhan wanaorudisha nyuma mpira wa Tanzania ni hao vilaza wanaoongoza! KUMBE HATA hao wanaojiita Great Thinkers?! Sasa hawa makocha mnawasakama baada ya mechi hozo chache, hamumuoni ALLAIN PARDEW wa Newcastle amevumiliwa sasa anafanya vizuri sana. Hivi kwani ni Watanzania ni wagumu sana kujifunza mazuri?
Hivi wewe unadhani yale matokeo mabaya ambao Newcastle waliyokuwa wanayapata yalikuwa yanawafurahisha fans wa newcastle!!!!!Mi nilidhan wanaorudisha nyuma mpira wa Tanzania ni hao vilaza wanaoongoza! KUMBE HATA hao wanaojiita Great Thinkers?! Sasa hawa makocha mnawasakama baada ya mechi hozo chache, hamumuoni ALLAIN PARDEW wa Newcastle amevumiliwa sasa anafanya vizuri sana. Hivi kwani ni Watanzania ni wagumu sana kujifunza mazuri?
Ukifanya hesabu hii unaweza ukagundua kitu, fanya hivi; 3 zidisha kwa 6=18, halafu 18-6=12, then 12 gawanya kwa 3=4, hivyo tafsiri yake ni kwamba timu ya simba imepoteza michezo 4 kati ya michezo 6 iliyocheza....
anajishughulisha lakn ukweli hasaidii timuKwa kotinyo sawa anajishugulisha, lakini huyu jaja na maximo wake waondoke tu..
shida ya hizi timu ushindi mmoja tu unawasahaulisha machungu yote, Yanga na Stand hakuna aliyesema lakn ya Kagera ambayo inajulikana kwa Yanga tayari longolongo, <br><br>Ila tu niseme kwamba inaweza usione tofauti ya makocha wa kigeni kwa kutahmini wazawa na mechi walizocheza against wageni, Mecky akionesha mfanna akina Kabange/Ndanda/Minziro wakifuatia
We ngarna umelewa? Kwani mada ya hapa ni red card?
Hata ulipozaliwa nilikuwa nimelewa ndio maana bi mkubwa akapata ujauzito wako.
Timu itakayorogwa kubadili kocha sasa haitafanya la maana zaidi ya hapo ilipo. Nawashauri Simba wenzangu watuliePhiri mwalimu mzuri isipokuwa kuna shida ndani ya klabu ambazo bila ya kutatuliwa hata aje nani klabu haitafanya vizuri
abadantangu lini wachaga wakajua kiswahili mpaka ajue maana ya maneno hayo!!!!!!
Ila tu akumbuke kuwa ''cha mlevi huliwa na wagema''
Hakika umeongea ukweli mkuu Amavubi,anajishughulisha lakn ukweli hasaidii timu