Punguza munkari wewe...
Halafu hizi habari apeleke jangwani, si kila mtu ni yanga hapa na msitake kumfundisha kocha kazi
Hujui mpira wewe kwanza jiulize mara ngapi mmeshinda uwanja wa kaitaba acha ujinga wewe.Mimi huyu mtu nanona anatuharibia timu,kwanini anamng'ang'ania huyo Jaja wake,na kutukosesha ushindi,asituletee ubishi wa kiscolari hapa!Inakuwaje Tegete kafunga magoli mawili mechi iliyopita,jana anamweka benchi!muda anayopewa Jaja kucheza angepewa Tegete naamini Yanga ingekuwa mbali!Kama maximo wanachezeana samba na jaja,hukohuko,wasituharibie Chama letu!asipange timu kiupendeleo!
Wewe pia ungekaa kwenu ukasubiri uletewe habari, hapa unatafuta nini?
Subiri tu kijana wangu, akifukuzwa yule mzee wa sare sare maua a.k.a phiri na huyo uliemsema nae atafukuzwa......Hapa nasubiri mumfukuze marcio na jaja
Subiri tu kijana wangu, akifukuzwa yule mzee wa sare sare maua a.k.a phiri na huyo uliemsema nae atafukuzwa......
Orodha ya makocha wa timu za vpl watakao fukuzwa kabla ya kumaliza msimu wa ligi wa 2014-2015 ni hawa hapa; Denis kitambi- ndanda sc ya Mtwara, patrick phiri-simba ya dar es salaam, Marcio Maximo-yanga ya dar es salaam, Juma mwambusi-mbeya city ya mbeya.......

Ligi ngumu,usidhani utapata ushindi kila siku.
Kwa kotinyo sawa anajishugulisha, lakini huyu jaja na maximo wake waondoke tu..
Mimi huyu mtu nanona anatuharibia timu,kwanini anamng'ang'ania huyo Jaja wake,na kutukosesha ushindi,asituletee ubishi wa kiscolari hapa!Inakuwaje Tegete kafunga magoli mawili mechi iliyopita,jana anamweka benchi!muda anayopewa Jaja kucheza angepewa Tegete naamini Yanga ingekuwa mbali!Kama maximo wanachezeana samba na jaja,hukohuko,wasituharibie Chama letu!asipange timu kiupendeleo!
Kwa kotinyo sawa anajishugulisha, lakini huyu jaja na maximo wake waondoke tu..