Maximo Akanyaga Anga za Simba

Simba huyu wa sasa anayeshinda mjina anang'atwa na mbu wa dengue..hana uwezo wa kumfunga mtu goli 5, ..Simba Sc sasa imekuwa timu ya mazoea, nafasi ya 4 kama kawaida.

Nyie subiri tu Mnyama afanye vitu vyake, akipigwa 5 bila ndo mtajua ni kwa nini starz walimtema.
 
Simba huyu wa sasa anayeshinda mjina anang'atwa na mbu wa dengue..hana uwezo wa kumfunga mtu goli 5, ..Simba Sc sasa imekuwa timu ya mazoea, nafasi ya 4 kama kawaida.

utakua unaiota Simba ya Rage
 
utakua unaiota Simba ya Rage

Hata hiyo Simba ya Rage ilikuwa anafungwa na JKT Ruvu lakini Yanga ilikuwa haithubutu. Ingeweza kushuka daraja lakini si kufungwa na kandambili.
 
Yaani nyie simba wala hampati usingizi kwa ajili ya kuiwazia yanga tuu..fanyeni yenu bana.....
 
Kama una imani ya Tomaso, subiri utatomasa tu
 
basi msajilipo au mchaguapo viongozi au mfanyapo neno lolote fanyeni yote kwa ajili ya Yanga..............
 
Hii ni nukuu ya Dibaji ya Katiba ya Simba, ya Yanga imeandikwa Bishana hadi Kufa Hata Kama ni Ukweli
 
basi msajilipo au mchaguapo viongozi au mfanyapo neno lolote fanyeni yote kwa ajili ya Yanga..............

Kufungwa na Yanga ni Mkosi na ni dhmabi pia, ni bora kushuka daraja lakini sio kufungwa na kandambili. Makisio Maksimo atalijua jiji kwa mara ya pili, na hivi ni mmbishi asieambiwa akaambilika.

Siku tukikutana tunamtomasa mara 7 kama walivyotomasawa ndugu zake huko kwao Brazil. Kesho yake atafungasha virago
 
Kama una imani ya Tomaso, subiri utatomasa tu

Uzuri record yake huyu jamaa inajulikana, sio kama Patrick Phiri. Hivi wakati Yanga wanamfuata hebu wamuulize alikuwa anafundisha timu gani?
 
Simba imekuwa Kama timu za mchangani"Ndondo"mpaka fainali wachezaji wanakula pilau....nyie mpaka mechi ya Yanga ndio wachezaji wanalipwa mishahara na kuweka kambi hotel nzuri(maneno ya Ivo Mapunda)...badilikeni wazeni ubingwa
 
utajua Simba Taleban Bill
 
Uzuri record yake huyu jamaa inajulikana, sio kama Patrick Phiri. Hivi wakati Yanga wanamfuata hebu wamuulize alikuwa anafundisha timu gani?

sisis ni wepesi sana kusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…