Hizo machine zenu ni kimeo sahv.
Kamishen zenu mmepunguza mno kwenye luku n.k
Haiwezekani eti niuze luku ya "Laki moja",
halafu nipewe faida ya "jero"
Hapi sijatoa matumizi kununua roller za karatasi, Ambazo kwa sasa zimepanda Bei Mara dufu.
Ilifika mpaka tunagoma kuuza umeme wa elfu 2 kushuka chini
Kwa kukwepa gharama za karatasi.
Matokeo yake,
BIASHARA haiendi mpaka uwategemee watumiaji wakubwa wa kununua luku ya elfu 100+
Maana ukifikiria uuze umeme wa buku, Buku mbili kwa vikaratasi,
Yaan mpaka ile roller inaisha Ni bonge LA hasara tayar umetengeneza.
HONESTLY WA SASA,
BIASHARA YA KUFANYA KWA KAMPUNI ZENU NI PASUA KICHWA.
SERIKALI HAIWAPEMDI, MNAWINDWA KILA KONA,
JUZ JUZ tu,
NMESKIA MMEONDOLEWA KWENYE MWENDO KASI.
Kabla ya hapo,
Mmepunguziwa kamisheni kwenye luku mpaka 0.5 per transaction.
Huku, mh. Akisema NYIE mlikua WAPIGA DILI.
WORSE ENOUGH;
Kwenye luku hamjatuomba radhi wala kutoa ufafanuz kwa wateja wenu, mmekaa kimya tu.
Mkituona kama "Malofa hivi"
Customer care simu zikipigwa, hampokei
YAAN NMECHOKA NMECHOKA.
Cha msingi,
Nmeamua tu kufanya maamuz,
mASHINE ZENU ZOTE mbili NAWARUDISHIA.
Moja nishauza, ya pili iko sokoni.
Ova