Mawio: Bunge lamwita Makonda kujieleza

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
20170323_041110.jpg


Note: hajawai kuitikia wito wowote ule kwa mamlaka halali iwe bunge, mahakama, kamati na polisi.

Je safari hii ataenda? Na kuna baba yake asiye shindwa kamwe.
 
Bunge ndio maana linadharaulika sana....linashindana na mtu mmoja tena mkuu wa mkoa na limemshindwa.....hopeless...
 
Aliwaona kina Meck Sadik ma Fwala sasa anajuta!

Kaja Mjini na Masuruali yake ya kushonesha na leso mkononi Kama Madada wa kazi wakienda gengeni

Tunamuona pale Umoja wa Vijana CCM 2013 kwa Mara ya kwanza na suruali zake alizoshonea Vitambaa vya Magauni akajiona Mjuaji sana na kukosa uungwana kabisa
 
hiyo ilikuwa Enzi hizo sio sasa hivi.....hata kama sharia inawaruhusu......HATAKWENDA na hakuna wa kumfanya chochote

Hata kutoitikia Wito pia ni adhabu kwake sema hujui tu.

Wee RC na ushawishi wake wote imefikia hatua anafuata clip kwa Mtutu wa Bunduki kweli? Zamani si angemwambia tu Soudy brown nirushie kwny Wasap ?

Mbona Mie nmerushiwa tu ile clip kwny Wasap buree nikiwa nakunywa chai?
 
yule bibi kijana anamsaidie ndugai mjengon atakubal aitwe. c mnajua yule yuko na serekal damu moja.
 
Back
Top Bottom