Mawazo yenu wakuu juu hili

Mawazo yenu wakuu juu hili

Ndan ya box

Senior Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
159
Reaction score
44
Huyu ni rafiki yangu wa muda mrefu,ni yatima ,zaidi ana kaka zake 4,na ndio waliomlea,na katika ndugu walimtegemea mjomba wao,

Lakini mjomba wao hakuwapa msaada wowote kaka zake 2 ni makonda,1 na hao ndio walimsomesha huyu rafiki yangu,

Baada ya kumaliza chuo alikuja mjini hapa na kufikia kwa mjomba wake,

Kwa kifupi ni stori ndefu ila ukifika sehemu mazingira ndiyo yanakufanya wewe uishi maisha gani ni kweli yule mama mwenye nyumba hakuwa nae karibu ukizingatia ni binti alihitaji hata msaada ama hata pindi anatatizo aweze kuwasilisha ilikuwa ni ngumu sana,na ugomvi wa hapa na pale,

SASA yule binti katika kuhangaika kapata kazi ya kujishikiza lakini pia amepata mchumba,

ushauri anaomba ataanzaje kumweleza mjomba wake juu ya taarifa hii?

Je ni sahihi amweleze yeye mjomba wake?na hata kama si sahihi je ataanzaje kumwelenza aunt yake maana hata ule ukaribu hana?

Wengi walimshauri amwambie ndugu yake wa kike yoyote ndie amweleze mjomba wake,lakini kaniomba ushauri mimi nimeshindwa kumshauri chochote nimeleta kwenu,

Je afanyaje?

Maana mchumba wake anahitaji kwenda kutoa mahari
 
huyo mwanamke anayeishi nae anaweza kumwambia au hata mjomba wake direct
 
Hii division 5 niliyonayo imenifanya nisielewe hii post.
 
akumbuke kupima H.I.V na huyo mpenzi wake...pia ashake well before use.hatutaki malalamiko baadae
 
Hivi unajua maana ya Yatima? mtu akishafikisha miaka 18 sio yatima tena, subiri akue ndio uje kuomba ushauri tena.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom