Mawazo yangu tu

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
3,577
Reaction score
2,226
Kwanza nimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema,mwepesi wa kusamehe kwa nafasi hii.

Nina maswali mengi sana yasio na majibu hasa kwa viongozi wetu wa Tanzania.Hizi mada na miswada wanayowaklisha kwa nia mbaya sana ya kukaba uhuru wa mtu kujieleza na mambo mengine lukuki.Swali ambalo linabaki na ambalo kwangu ni misingi mibovu iliyo na mizizi kutoka ngazi ya familia mpaka taifa,naongelea RUSHWA.

Sasa hivi kutoa na kupokea rushwa imekuwa kitu cha kawaida.Inakuaje wasilete muswada wenywe meno na ikiwajumuisha viongozi kuhusu wizi wa mali za umma tunakaa kun'gan'gania muswada wa kushika na kucontrol habari kama ndio tatizo pekee.Kwanza tuanze na la rushwa ambalo ndilo linaharibu na kusambaratisha nchi yetu.

Makamba wa wenzake warudi wakafikirie kingine.Ameshindwa kusimamia makampuni ya simu wanakuja na mipango hovyo.

ushauri wangu,walete muswada wa kuelezea kuhusu rushwa na adhabu yake.Mimi naweza kusema natamani wanyongwe wapokeaji nakutoa rushwa.

Nawasilisha.
 
Sasa watalindwa mafisadi ,watalindwa wale wazinzi ,na wenye maovu mengi kisa hiyo sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…