Mawazo ya biashara

Mawazo ya biashara

marktindo04

Member
Joined
Dec 16, 2019
Posts
23
Reaction score
74
Bila kupoteza mda hope kama unasoma uzi huu uko salama kabisa ,ebana kama kijana ni muhimu kutoa mawazo ya biashara kwa vijana wenzangu nao amini bado tunatafuta

Sasa kuna watu ambao wanasema hawana ajira ,maisha ni magumu lakini hajawah hata jaribu ku risk pesa yake katika ku invest pesa yake katika bishara yake

nakumbuka kuna kipindi nilikua nina mzigo wangu nimeagiza nje ya nchi i mean alibaba ,sasa mzigo umefika lakini sina wateja kabisa wa kuweza kununua ili nimalize mzigo

mfukoni baada ya kulipia nauli ya mzigo kutoka china nikabakiwa na Tsh 50,000 tu ,kiufupi nilikua na instagram page lakini bila ku promote tangazo wateja huwa wachache sanaaaa yan ,maaana bado sikuwa na frame

so nikichifanya ilibidi ni risk pesa yangu nilokua nimebakiwa nayo ,nikalipia 40,000 kwenye matangazo ya instagram na nikabaki na 10,000 ya chakula maana bado mm ni bachelor so niliweza kujikimu kwa siku hyo kula na kununua mahitaji

Ebanaa ilipofika asubuhi nikaanza kupokea simu na message kibao Dm na whatsapp watu wakihitaji mizigo na niliuza bidhaa mapema zikaisha zote, faida ilikua nzuri tu na niliendelea kuagiza mzigo nje ya nchi mpaka leo

hivyo kama kijana penda sana ku risk pesa katika biashara na sio starehe tu ,
kama huna mtaji unaweza kuanzisha page instagram na kuchukulia mzigo kariakoo direct , post bidhaa yeyote utakayo penda na kuweka bei ambayo unaona inakufaa pia uwe unafanya delivery kwa Dar na mikoani
Unachukulia kwa bei ya jumla na kuuuza reja reja
AKILI MTU WANGU , WATU WANA PESA NYINGI
 
AKILI MTU WANGU , WATU WANA PESA NYINGI SANA DAR HII

kwa kujifunza kuagiza mizigo nje ya nchi nicheki
pia kujifunza kuhusu ku promote posts za instagram
0746751987

tunaweza kutana kama upo dar
utalipa 20,000 tu ya kutenga mda wangu
pia masomo ya online yapo
nakutengenezea video za kujifunza

tumia gharama ndgo uweze kutoka kimaisha
ukibana huwezi kuelewa
Nilikuwa nataka kuona mwisho wa Hii Post utakuwaje, kumbe ni tangazo La biashara
 
Safi sana mkuu umeeleza ukweli ambao mjasiriamali anatakiwa afanyie kazi.
Mjasiria mali anatakiwa awe mtu wa kujifunza mambo mapya kwenye biashara zake.
 
Kuna Majitu humu jf bongo zao zimejaa mavi. Mtoa uzi amesema utamchangia buku20 kwaajili ya muda wake. Mnataka kufundishwa Buree?
Mtaliwa Macali0 hayo. KWA kupenda vya free bot. Yn mwanaume mwenzako anakufuata kukupa Elimu we unataka Buree!! Seriously??
Wenzetu kwao pesa inazunguka hata KWA Kupitia service kama hizi. Acheni uchawi vijana.
Na wengine watakuja kibao kuponda mixer kuzodoana "eti kumbe tangazo?"
#hii nchi inavijana wa hovyo Sana.
 
Oya we nguruka mtumie basi wewe hiyo 20,000 alafu hiyo biashara ingekua inalipa asinge kuja hapa kushare na sisi hiyo biashara angekua busy huko kupiga pesa kwahio kijana kwa umri huu nilio nao mimi sipangwingwi au mpo kundi moja mmebunu mbunu ya kututakatisha fedha zetu eboo

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Ujue mnapokuwa mnaandika vitu mjua kuna watu humu wanafanya Biashara tena kubwa tu , kwahiyo MTU akisoma post yako anauwezo wa kuichanganua kila Kitu halafu anaona hakuna kilicho andikwa zaidi ya tangazo tu La Biashara.
 
Una idea nzuri sema hujaweka mambo mengi open... mfano ... unefanya sponsored kwa siku dollar ngapi? Je hiyo dollars ita cover watu wangapi

Binafsi nafanya sponsored daily natumia 10 dollars kwa mda wa siku 6 piga hesabu hapo
Napata mzunguko lakini siyo kiviile

Siyo kwamba nakupinga hapana ila najaribu kuangalia kwa kiwango ulicho lipia je? Utapata wateja wengi kama ulivyo eleza hpo?

Sahvi watu wame advanced sana wanaweka mpunga wakutosha ili wapate wateja
 
unaweka dollar kumi kwa nn unakosa wateja weng labda unakosea kuweka target infact mm tangazo la dolar 3 kwa siku naweza kupata wateja hadi 8
 
Back
Top Bottom