Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
Wadau kuna kila dalili kuwa Mawazo hakushindwa uchaguzi.
Hakuna siri iliyofichika juu ya kifo chake.
Ilikuwa mchana kweupe, kwenye barabara ya watu wengi Katolo.
Ukiuliza popote habari ni ile ile habari ni moja.
Nakaribisha maswali kwa makamanda wanaotaka kujua zaidi ila tuwe makini tusiingilie kesi iliyopo mahakamani maana wahusika wana nguvu.
Moto uliowashwa na Mawazo tusiuache ukazima.
Kama wanaGeita walikubali kuukana Ukabila basi sisi makamanda tusilale na tusiwe hai kwenye kampeni tu!