kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,356
- 493
Ukisha pewa kazi na CCM lazima ukubali ujinga wa CCM hata kama hukuwahi kuwa mwanaccm. Prof. Mhonga wameshamwaribu tayari. Na yeye mwenyewe ameshaswahilika tayari la sivyo asingekwenda kugombania ubunge. Uchaguzi ujao Mpango, Possi, Ndalichako, Tulia wote watatafuta majimbo. Hivi Mkuya hata unaibu waziri wamemnyima? JPM noouma kweli.
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?
Mnajidanganya sana.magufuli hawezi kuteua mtu nje ya ccm.hao kina mpango na ndalichako wasingepewa nafasi na mkapa kama wasingekua wana ccm.hivi mnafahamu kuwa mawaziri wanaingia katika mkutano mkuu wa ccmDr Mpango si mwanachama wa chama chochote japo miaka 3 nyuma alitaka kuchukua kadi ya ccm kwa ajili ya kwenda kugombea ubunge huko kwao kigoma but badae akasitisha kwa kudhani kwamba akiingia kwenye siasa taaluma yake ndio itakuwa imekwenda na maji na pia huyu ni mcha Mungu sana kama tujuavyo siasa zetu bila mambo ya sangoma mambo hayaendi hilo nalo lilikuwa kikwazo kwake.
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?
Robert Gates alikuwa waziri wa ulinzi wa Bush alivyoingia Obama akaendelea kuwa waziri wa ulinzi wa Obama.
inabidi tuwaeleweshe vijana maana hakuna namna kusoma hamtaki hata kufuatilia mambo hamtaki.
wakati mwingine tafiti kidogo kabla hujabisha usilolifahamu.
Mkuu muda wa siasa hauwezi kwisha maana siasa na maisha haviachani kamwe!hata mchango wako hapa ni siasa.Muda WA siasa umekwisha acheni JPM na timu yake wafanye kazi kututumikia watz
Robert Gates alikuwa waziri wa ulinzi wa Bush alivyoingia Obama akaendelea kuwa waziri wa ulinzi wa Obama.
inabidi tuwaeleweshe vijana maana hakuna namna kusoma hamtaki hata kufuatilia mambo hamtaki.
wakati mwingine tafiti kidogo kabla hujabisha usilolifahamu.
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?
Umemsahau Mwalimu wetu wa Udom Dr Abdalah Possy.
Ashatu ni fisiem wa kondoa, uwezo wake ni questionable, kapata zali la mentali
Wewe yaani hata hujielewiKama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?
Inaleta faraja kwamba sasa nchi itaongozwa na wanataaluma bila kun'gan'gania wanachama wasio na uwezo.
I doubt kama Dr Mpango, Dr Ndalichako, Dr Ashantu Kijaji ni wanachama wa chama chochote.
Muda WA siasa umekwisha acheni JPM na timu yake wafanye kazi kututumikia watz
Wewe yaani hata hujielewi
Mawazo mgando kweli duuh!!!!unatuaminisha kuwa 2*2=7 teheteheeee.