Dr Mpango si mwanachama wa chama chochote japo miaka 3 nyuma alitaka kuchukua kadi ya ccm kwa ajili ya kwenda kugombea ubunge huko kwao kigoma but badae akasitisha kwa kudhani kwamba akiingia kwenye siasa taaluma yake ndio itakuwa imekwenda na maji na pia huyu ni mcha Mungu sana kama tujuavyo siasa zetu bila mambo ya sangoma mambo hayaendi hilo nalo lilikuwa kikwazo kwake.