Mawaziri wamekula rushwa katika ardhi?

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
DSC_0509.JPG

INAELEZWA kwamba kuna kila dalili za mawaziri wenye dhamana ya kusimamia Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na watendaji wengine kupewa rushwa ili wasitekeleze agizo la kurudisha serikalini mashamba na viwanda vya bidhaa na kilimo vilivyotelekezwa, FikraPevu inaripoti.

Mbali ya mashamba hayo, lakini pia viwanja vilivyopimwa kwa gharama ya mabilioni ya fedha za umma jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini navyo vimetelekezwa na waliovinunua kwa zaidi ya miaka 10 sasa licha ya serikai mara kadhaa kuahidi kuwanyang’anya wahusika.

Viwanja 20,000 vilipimwa jijini Dar es Salaam katika kipindi cha mwaka 2002/2003 kwa gharama zilizotajwa kufikia ...

Kwa habari zaidi, soma => Mawaziri wamekula rushwa katika ardhi? | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom