K Kimbori JF-Expert Member Feb 21, 2012 5,458 3,210 May 2, 2012 #1 Tangu hali iwe tete, baadhi ya mawaziri, hasa walio na hali tete, wamekimbilia kwa waganga wa jadi ili kusafisha nyota na kupata mvuto. CHANZO: JAMBOLEO
Tangu hali iwe tete, baadhi ya mawaziri, hasa walio na hali tete, wamekimbilia kwa waganga wa jadi ili kusafisha nyota na kupata mvuto. CHANZO: JAMBOLEO
Kiranga Platinum Member Jan 29, 2009 71,282 105,496 May 2, 2012 #2 Tofautisha "mganga wa jadi" na "muaguzi". Mmoja anatumia sayansi ya jadi mwingine tapeli. Ingawa mstari wa kuwatenga unaweza usiwe na makini sana. Halafu. Rais mtoto wa Bagamoyo ambako embe dodo ikianguka haiokotwi ovyo, Waziri Mkuu mtoto wa Sumbawanga ambako wazee wanatundika makoti hewani. Sasa unakimbilia kwa mganga wa jadi wapi?
Tofautisha "mganga wa jadi" na "muaguzi". Mmoja anatumia sayansi ya jadi mwingine tapeli. Ingawa mstari wa kuwatenga unaweza usiwe na makini sana. Halafu. Rais mtoto wa Bagamoyo ambako embe dodo ikianguka haiokotwi ovyo, Waziri Mkuu mtoto wa Sumbawanga ambako wazee wanatundika makoti hewani. Sasa unakimbilia kwa mganga wa jadi wapi?
Losambo JF-Expert Member Nov 8, 2011 2,612 864 May 2, 2012 #3 Wache waende kwa maji marefu masaburi yao yawe kitafunwa cha nyembe.