Mawaziri wabuni mbinu mpya kupitisha bajeti kiulaini

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Mawaziri wa JK wamebuni mbinu kali ya kulainisha wabunge ili kupitisha bajeti kiulaini baada ya ile ya Jairo kustukiwa. Kwa sasa Mawazili hutumia mbinu kali ili kugundua maovu ya watumishi na kuyavundika hadi siku ya bajeti ambapo Mheshimiwa hutangaza kuwafukuza kazi ndani ya jengo la Bunge.

Watumishi mpooo, ukifanya uovu August baada ya bajeti yenu hutafukuzwa hapo hapo, ila jiandae kufukuzwa kwenye bajeti ijayo. Anyway unapata muda wa maandalizi ya kufukuzwa. Ukiwa na zali baada ya bajeti unarudishwa kazini. Unakuwa nusu kafara, Jairo alikuwa kafara kamili.

Wadau mmeiona hiyo?
 

Mawaziri.
 
Na kujitetea fedha haitoshi waliotengewa,wamepewa pesa kidogo!eg membe alivyojitetea huku ma v8 mapya ya wizara ya sheria yanatoka toyota
 
Aiseee baba yangu ila za mwizi 40 so andowa shaka

ngoja nikafunge ngombe
 

na mfungo unawasaidia maana ikikaribia saa 12.00 bajeti hupitishwa kwa mafungu
 
Serikali jizi ni jizi tu km ya kikwete ccm na mafisadi. Ni sawa na kumuwekea mtoto wako geti kali eti asitoke! Anaruka ukuta.
 
Nimeipenda hiyo mbinu kwani inawafanya watumishi wawe makini kwenye utendaji wao
 
Framkly sioni cha kujadili hapa.It is like everybody is desperately to start a thread based on nothing critical that will need GT contributions.im out for good.
 

hapo kwenye blue sahihisha kiswahili hapo kwenye red umekosea sana mwenzio anakula bata tafakari kwa sasa yuko wapi na anafanya nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…