Mawaziri wa Kenya wajiongeza mshahara


Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
141
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 141 135
New pay hike for MPs

PIX.jpg

By ALPHONCE SHIUNDU
Thursday, January 7 2010 at 20:00

The salaries of Members of Parliament are to be increased from Sh851,000 a month to Sh896,000 a month, a tribunal appointed by the House has recommended.

In addition, MPs’ pay will be increased by five per cent every year to cushion them against a rise in the cost of living and their allowances for sitting in parliament have been doubled.

And Prime Minister Raila Odinga is to earn Sh1.67 million every month, some Sh350,000 more than Vice-President Kalonzo Musyoka the tribunal says, settling a vexing quarrel over who is President Kibaki’s second-in-command.

But MPs will pay more tax, after their taxed basic salary was increased from Sh200,000 to Sh350,000. The bulk of their income made up of allowances will however not be taxed and, according to the tribunal, cannot be taxed until the law is changed.

The tribunal, chaired by retired Appellate Judge Akilano Akiwumi, agonised over awarding a pay rise for MPs in the face of public hostility and an economy in recession. Indeed, the the tribunal gives eloquent reasons why a salary increase at this time is not wise.

The increase has been achieved by removing one of the MPs’ three car allowances, adding part of it to the basic pay and spreading the rest to other allowances.

All other allowances have been increased, some such as sitting allowance, more than twice.

The tribunal appears to have been of a divided mind, on the one hand it dwells at length on the reasons for not giving a salary increase, but at the same time felt MPs do an important job and should be paid well.

Its report, as a result, is complicated and it will take many days for its full import to be understood.


But when everything is boiled down, MPs have been given a pay rise even though it will not appear in their payslips. This will come from the allowance members are paid to attend Parliament and its committees.

According to the tribunal’s estimates, a hardworking MP who attends all sessions and some committee meetings will make Sh375,000, over and above his salary of Sh896,000, theoretically bringing the total pay for such an MP to Sh1,271,000 a month.


The tribunal concludes that the increase of the car allowance in 2005 from Sh336,000 to Sh366,000 a month was illegal because the law was not followed in awarding it

At the time, MPs threatened the Clerk of the National Assembly that unless he obtained permission from Treasury for the increase, they would not vote for the Supplementary Budget then before the House. Treasury officials tricked MPs into believing that the increment had been approved while in actual fact it had not.


The tribunal concludes that there are “too many allowances paid for the maintenance of just one car” but does not take any of them away. Instead, it makes proposals which will allow MPs a little more tax and still be left a little better off.


The tribunal’s report was handed over to Speaker Kenneth Marende on November 15 last year but has not yet been made public.

http://www.nation.co.ke/News/politics/-/1064/838322/-/wsx17cz/-/index.html
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,351
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,351 280
Haya tena Majirani wamenza je na sisi tutamaliza?
 
M

macinkus

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Messages
260
Likes
3
Points
33
M

macinkus

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2007
260 3 33
ni heri ya kenya mishahara inajulikana. huku kwetu bongo ni siri. au nani anajua mishahara ya : rais, makamu, pm, mawaziri, ma rc nk.
au
katibu mkuu, gavana, mkuu wa jeshi, majaji nk aweke hadharani.

macinkus
 
Smatta

Smatta

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
2,351
Likes
291
Points
180
Smatta

Smatta

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
2,351 291 180
ni heri ya kenya mishahara inajulikana. huku kwetu bongo ni siri. au nani anajua mishahara ya : rais, makamu, pm, mawaziri, ma rc nk.
au
katibu mkuu, gavana, mkuu wa jeshi, majaji nk aweke hadharani.

macinkus
Haya yetu hapa Kenya yamezidi, wanatuaibisha sasa, twaomba misaada wakati wabunge wetu wanaenda nyumbani na karibu millioni noja, thats shamefull, Mwenyezi Mungu tusaidie.
 
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
141
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 141 135
Haya yetu hapa Kenya yamezidi, wanatuaibisha sasa, twaomba misaada wakati wabunge wetu wanaenda nyumbani na karibu millioni noja, thats shamefull, Mwenyezi Mungu tusaidie.
Smatta,

Do these guys pay taxes ama bado waligoma na hio ishu?
 
Ng'wanza Madaso

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Messages
2,278
Likes
100
Points
160
Ng'wanza Madaso

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2008
2,278 100 160
Smatta,

Do these guys pay taxes ama bado waligoma na hio ishu?
Mkuu Ab-Titchaz salam,
Mkuu naomba unikokotolee hizo Ksh kuwa Tsh ili tuone kwa kutumia tarakimu za hapa nyumbani,kwani wengine hatujui hesabu ya Ksh=Tsh?
ni ombi tu mkuu ninataka kujua tofauti ya hiyo misharaha na hapa nyumbani.
 
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
141
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 141 135
Mkuu Ab-Titchaz salam,
Mkuu naomba unikokotolee hizo Ksh kuwa Tsh ili tuone kwa kutumia tarakimu za hapa nyumbani,kwani wengine hatujui hesabu ya Ksh=Tsh?
ni ombi tu mkuu ninataka kujua tofauti ya hiyo misharaha na hapa nyumbani.
Mkuu nimekupata.

Kamata hii link ambayo inafanya hio shughuli ya ku-convert
hela ya madafu. Mfano 10Ksh = 176.85 Tsh

I hope inafaa:

http://coinmill.com/KES_TZS.html
 
Ng'wanza Madaso

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Messages
2,278
Likes
100
Points
160
Ng'wanza Madaso

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2008
2,278 100 160
Mkuu nimekupata.

Kamata hii link ambayo inafanya hio shughuli ya ku-convert
hela ya madafu. Mfano 10Ksh = 176.85 Tsh

I hope inafaa:

http://coinmill.com/KES_TZS.html
Kaka nashukuru nimejaribu kuzikokotoa kwa pesa ya hapa nyumbani, nilichokiona kaka ni kufuru kwa Wakenya ambao hawajui jioni watakula nini,ni kufuru kwa watoto wale waliojaa mitaani wakivuta glue na kusubiri wapita njia na kuwamwagia vinyesi ili mradi tu uwapatie pesa kidogo kwa ajili ya mlo wa mchana ama wa jioni,wakati hawa watu wanaojiongezea mishahara minono tayari ni mabilionea kabla ya hiyo nyongeza ya mishahara Mfano Raila ni Bilionea kabla ya kuukwaa uwaziri mkuu. Anashindwa nini kuwaachia Wakenya maskini wakafaidi hata kidogo? inauma sana.
 
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Messages
12,765
Likes
1,031
Points
280
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2009
12,765 1,031 280
Ng'wanza Madaso

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Messages
2,278
Likes
100
Points
160
Ng'wanza Madaso

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2008
2,278 100 160
Karibu Millioni 22 kwa mwezi.
nimejaribu kuzikokotoa kwa pesa ya hapa nyumbani, nilichokiona kaka ni kufuru kwa Wakenya ambao hawajui jioni watakula nini,ni kufuru kwa watoto wale waliojaa mitaani wakivuta glue na kusubiri wapita njia na kuwamwagia vinyesi ili mradi tu uwapatie pesa kidogo kwa ajili ya mlo wa mchana ama wa jioni,wakati hawa watu wanaojiongezea mishahara minono tayari ni mabilionea kabla ya hiyo nyongeza ya mishahara Mfano Raila ni Bilionea kabla ya kuukwaa uwaziri mkuu. Anashindwa nini kuwaachia Wakenya maskini wakafaidi hata kidogo? inauma sana.
 
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Messages
12,765
Likes
1,031
Points
280
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2009
12,765 1,031 280
Ng'wanza Madaso

Kenya kuna matatizo makubwa sana usione wanalilia hii jumuiya ni katika kufikiria ni jinsi gani watatatua matatizo yao. Tatizo kubwa tulilonalo Tanzania ni hawa viongozi vibaka sijui itakuwaje in two years time.
 
Smatta

Smatta

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
2,351
Likes
291
Points
180
Smatta

Smatta

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
2,351 291 180
Smatta,

Do these guys pay taxes ama bado waligoma na hio ishu?
Their taxable sallary is only 200,000 ksh. while the allowance which is not taxed adds up to almost ksh.600,000. Just imagine mtu anapatiwa entertainment allowance ya 100k kila mwezi for doing nothing.. Thats a big joke to the Kenyan people.
 
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
1,224
Likes
9
Points
135
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
1,224 9 135
It damly pays being an MP. No wonder!!!!!!!!
 
Jayfour_King

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Messages
1,141
Likes
12
Points
0
Jayfour_King

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2009
1,141 12 0
Afrika hatuna viongozi mara nyingi tuna wachumia tumbo, haiwezekani nchi masikini kama za kwetu mambo mengi ya kimaendeleo yamekwama kutokana na vision hafifu ya viongozi tulionao, then tunawalipa 22m kwa kazi gani hasa wanayofanya? Kuna haja ya wananchi kusimama kidete katika hili.
 
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
141
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 141 135
Their taxable sallary is only 200,000 ksh. while the allowance which is not taxed adds up to almost ksh.600,000. Just imagine mtu anapatiwa entertainment allowance ya 100k kila mwezi for doing nothing.. Thats a big joke to the Kenyan people.
That is some scary data you just delivered over there bro.
Swali ni, do they deliver?
 
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
141
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 141 135
Kaka nashukuru nimejaribu kuzikokotoa kwa pesa ya hapa nyumbani, nilichokiona kaka ni kufuru kwa Wakenya ambao hawajui jioni watakula nini,ni kufuru kwa watoto wale waliojaa mitaani wakivuta glue na kusubiri wapita njia na kuwamwagia vinyesi ili mradi tu uwapatie pesa kidogo kwa ajili ya mlo wa mchana ama wa jioni,wakati hawa watu wanaojiongezea mishahara minono tayari ni mabilionea kabla ya hiyo nyongeza ya mishahara Mfano Raila ni Bilionea kabla ya kuukwaa uwaziri mkuu. Anashindwa nini kuwaachia Wakenya maskini wakafaidi hata kidogo? inauma sana.
Hio ni kufuru bin balaa.

...njaa inauwa wakenya kila siku na mambo ni haya ya kujiongeza
mishahara.

Kisha to make matters worse kuna wale wanaopewa nyadhifa za uwaziri
kisha wanaendeleza ufisadi na kuiba hela za wananchi. mfano mzuri ni
ule wa mabilioni ya hela yaliokua yanatolewa na serikali ya Uingereza for
free Primary School Education. Waingereza waliona isiwe taabu sitisha hio
hela. Mwishowe watoto katika shule za primari wanakosa elimu. Imagine
such stupidity.

...kuna watu waliopoteza makao yao baada ya zile kura za '07. Mpaka leo
hawajawa settled lakini hawa mabwana wamewasahau. All they are doing
is lobbying for their stomachs kisha baada ya miaka mitano wanarudi
kuomba watu kura.

Bunge la Kenya limekua biashara tu. Hamna cha maslahi ya umma wala nini.
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
139
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 139 160
Waziri Mkuu anapokamata pesa kuliko Makamu wa Rais, inakuwa kaazi kweli kweli.
 
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
141
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 141 135
Waziri Mkuu anapokamata pesa kuliko Makamu wa Rais, inakuwa kaazi kweli kweli.
Mkuu Maxshimba,

that right there is the major sticking point in Kenya's political landscape.
Baada ya zile fujo za '08 na the subsequent peace arrangement, Raila was
considered the main principal along with Kibaki in the power sharing thing.
Kwa hivyo V-P had no clout in that arrangement. However kuna wahuni wa
Kibaki ambao in an attempt to despise Raila wakawa wanasema V-P
Kalonzo Musyoka should be above the PM in protocol.

This would make no sense maana Raila/ODM have the majority seats in
Parliament and by virtue of that Raila should be second in charge to
Kibaki. Arrangement ya Kenya iko tofauti na Bongo when it comes to
the Prime Minister. Bongo anateuliwa na Rais ilhali Kenya the leader of the
Party with most seats becomes the PM.

Its confusing as it is na ndo maana inabidi jamaa warekebishe katiba yao.
Imagine a situation where the elected President is also the leader of the
Party with most seats in Parliament....itakuaje alafu?

Nawasilisha.
 
M

mohamedsaidi

New Member
Joined
Dec 28, 2008
Messages
4
Likes
0
Points
0
M

mohamedsaidi

New Member
Joined Dec 28, 2008
4 0 0
Kama haya mambo ni kweli, basi huu ni ulafi wa hali ya juu.Ubepari ni unyama.Haya basi ,na sisi watanzania tukikubali kuendelea au kukubali EAC, SI TUTAKUWA KAMA WAO. Ni afadhali kuachana na EAC. Ongezea kuuana kwao,ugonvi wao wa kikabila,ulafi nk. kweli EAC tutaiweza?.

Ukweli ni kwamba hatutaiweza, watatuharibia nchi na sisi tutakuwa kama wao. Let us do free trade, one on one basis, issue by issue basis, etc. In this way,we have to be in control and let them follow our Tanzanian rules and not EAC rules. Speech za baba wa Taifa Mheshimiwa Mwl.J.K.Nyerere zina maana sana.They need to be re-visited and put in action. amani tuliyonayo leo,ni largely due to his policies ,practices and good rule.

Tukizisahau hizi na tukakimbilia ubepari 100%. basi tutakiona cha mtemakuni siku za usoni.It is possible to be a socialist and succeed.China and India are examples.Ubepari, kwa nje ,unonekana ni mzuri na unapendeza sana.hii ni kwa sababu unafanywa uonekane hivyo.Lakini ukweli wenyewe,in practice, it is in fact a few people at the top, sucking the blood of the majority.

Well, kenya is here to show us just that and lead us there!.

HEY PEOPLE WAKE UP!
 

Forum statistics

Threads 1,238,341
Members 475,888
Posts 29,316,867