Nijambo linaloshangaza kuona mawaziri wa serikali moja,chama kimoja wakianikana hadharani!
Kitendo cha Mh Samwel Sitta kumpinga Waziri Ngereja kinaonyesha Ujasiri wa Sitta aliokuwanao katika medani ya siasa Nakinaonyesha Dowans si kampuni halali hivyo haikupaswa kulipwa!Na inaonyesha mwanasheria wa serikali ni mla rushwa kwakushindwa kusimamia ofisi yake!!
Uturuki zinapigwa katikati ya bunge!Hiyo ndio Demokrasia iliyojengwa na JMK.<br />
<br />
Ungekuwa ni mfatiliaji wa habari, duniani, wengi tu huwa wa chama kimoja lakini wakatofautiana mawazo, hata wakati wa chama kimoja hapa Tanzania, na udikteta wote wa Nyerere lakini wapo waliompinga, wengine aliwaficha, wengine wakakimbia nchi, wengine wapo mpaka leo, hohehahe.
Hapo mweye haki ni mmoja mchukia ufisadi!!
Hii imetulia tehe tehe tehe! Maana ujinga umezidi sana serikalini na unasababishwa na wajinga wachache!Uturuki zinapigwa katikati ya bunge!
Unajua Mzee Sita anaelewa vizuri sana issue ya DOWANS hivyo si rahisi kumdanganya kama Ngereja anavyojaribu kutudanganya Watanzania. Kumbuka Dr. Mwakyembe alisema mambo mengine wameyaacha kwa usalama wa nchi lakini Sitta kama Speaker anayafahamu. Anasema anachokifahamu!!!
Binafsi naona Sitta yuko kwenye nafasi nzuri sana ya kutetea hoja zake kuliko AG Werema na Ngereja. Werema yeye alipitia hukumu tu na kutoa maoni yake bila kufuatilia historia ya tatizo lenyewe. AG yuko sahihi kwa mtazamo wa haraka jinsi hukumu ilivyo lakini ameshindwa kupata ukweli sahihi na kutoa maamuzi yenye maslahi kwa Watanzania kwa kukosa kufuatilia majadilano ya Bunge na taarifa za kamati ya Bunge. Hapo ndo alipopotoka ndugu Werema.
Ngereja anaangaishwa na ujana wa kutetea maslahi ya Wazee. Ameangukia pua na hana utetezi.
Hiyo ndio Demokrasia iliyojengwa na JMK.
Ungekuwa ni mfatiliaji wa habari, duniani, wengi tu huwa wa chama kimoja lakini wakatofautiana mawazo, hata wakati wa chama kimoja hapa Tanzania, na udikteta wote wa Nyerere lakini wapo waliompinga, wengine aliwaficha, wengine wakakimbia nchi, wengine wapo mpaka leo, hohehahe.
" lakini wakatofautiana mawazo"
Mkuu... hili ni genge la Malaria Sugu aka MS wametumwa na RA ..... usiumize kichwa.......