maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,831
Dah kwa kweli awamu hii ni tofafuti aisee. Nimeangalia taarifa ya habari itv naona habari nyingi ni mawaziri tu wanavyo-shine kwenye utendaji wao na hasa mikoani. Naibu waziri wa nishati yuko Rukwa wakati waziri wake Prof. Muhongo yuko kanda ya ziwa.. Nae waziri Prof. Mbarawa nimeona yuko Njombe wote wanapiga kazi. Enzi zile walikua wanapishania Dubai tu