M mpeku New Member Joined Feb 16, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Feb 16, 2011 #1 HABARI Wana JF:embarrassed: Mie ningependa kuuliza kuhusu mawaziri vivuli mbona sielewi wanamaanisha nini? manake nimesoma gazeti la mwananchi nimeona Mh. MBOWE alikuwa akiwatangaza hao mawaziri wakati yupo bungeni. sasa ni nini hiyo....?:thinking:
HABARI Wana JF:embarrassed: Mie ningependa kuuliza kuhusu mawaziri vivuli mbona sielewi wanamaanisha nini? manake nimesoma gazeti la mwananchi nimeona Mh. MBOWE alikuwa akiwatangaza hao mawaziri wakati yupo bungeni. sasa ni nini hiyo....?:thinking: