Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,334
- 72,798
Kwa jinsi mnavyomuogopa mhe Rais ni wazi mna madhambi makubwa sana ambayo yeye anayajua na mnaogopa atawaumbua mkijaribu kumsema akoseapo.
Haiingii akilini nyie wote mmechaguliwa kwa kura na kuna maeneo amepata kura kwa vile nyie mmemnadi.
Sasa hivi mumeufyata hata yale ya hovyo hamkemei kama vile mnaogopa atazisema dhambi zetu mkimgusa.
Ni dhambi zipi hizo?