mawaziri hawa wako wapi.

mawaziri hawa wako wapi.

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Waziri wa fedha
Manaibu waziri wa madini
Naibu waziri wa maghufuri
Naibu waziri wa mwakyembe
Naibu waziri wa utalii
Waziri wa kilimo
Waziri wa afya

Nao wakumbuka mimi ni mwakyembe sababu ya maradhi yake na hii train,maghufuri sababu ya kipaji chake cha ujasiri wa kutamka kms za uongo,muhongo na wanamtwara,nchimbi sababu ya deepening insecurity,murugo na kawambwa kila mtu anawajua hawa,

Najua hili kundi lina watu kama sitini na,lakini nchi imepooza utadhani tumeishayapatia kweli kweli, ka pinda nako sijui kako wapi,wizara ya michezo mara ya mwisho niliwasikia kwenye mgogoro wa uchaguzi TFF,kuna mawaziri wa ofisi za marais,kagasheki namkumbuka na hotuba yake ya kujidhalilisha juu ya meno ya tembo ya kinana,mtu mwingine nayemkumbuka ni mwanri na yeye ni sababu ya mke wake kusema ni mkali hata nyumbani,ama sivyo sasa sikumbuki mtu kama maghembe,warioba,wasira,sitta na mke wake,masha,makinda na mtoto wa mwinyi ni mawaziri wa nini.
 
mleta mada mburula kabisa. Hata mi sijamuelewa. Umesup itabidi urudie
 
mleta mada mburula kabisa. Hata mi sijamuelewa. Umesup itabidi urudie

Your level is too low to comprehend this post.seat somewhere and warm up your chair.
 
Back
Top Bottom