kuna baazi ya nchi kuna simu za bure, kuna huu uzembe mtu anakupigia simu wala hana la kuongea utakuta masaa mawili mzembe anabwabwaja tu, inauzi ajabu. Yaani DNA za kiswahili wakipata bure wee acha tu.
Zote hizo zinanikera ila binafsi napenda mtu anitumie msg kuliko anipigie. Sipendi kuongea ongea na simu.
Yaani mkuu wewe bana mswahili akiona cha bure hata kama hana umuhimu nacho atatumia tu, kuna mshkaji wangu si mnywaji lakini kuna siku alikuta pombe za bure nilishangaa mjomba aliondoka na nyagi kuliko aspirin wa JF.isitoshe klorokwini haya mambo ya promotion ni huku kwetu tu matokeo yake watu wanaacha kuwajibika makofisini na kubaki wakichati Na CHEKA TYM kama unamgonjwa hospitali anaweza kufia reception lo!

Zote hizo zinanikera ila binafsi napenda mtu anitumie msg kuliko anipigie. Sipendi kuongea ongea na simu.
Kweli husninyo most of txt sms huwa rahs kuinterpret kuliko maongezi mtu anataka kukwambia tuonane muda fulani anaanza na salamu zenye porojo mingi anaulizia hadi vile viatu ulivyovaa Katka graduation ya advance.
Lo!
Sipendi kupigiwa simu binafsi ndani ya muda wa kazi, pia sipendi kutumiwa meseji zisizo na msingi (forwarded messages)

Hus mie sipendi sms kabisa nazichukia halafu huwa sijibu ukituma sms nakutwangia simu tumalizane
Mazingira gani? toa mifano. Hapa unaongea na magreti thinka bana sio unakata kata majibu tukabisaaa! Mara nyingine unaweza ukawa kwenye mazingira ambayo huwezi kupokea simu, kama mtu anakupigia halafu network nayo inasumbua huwa ni balaa.
jamani hiyo ndio sipendi kuliko vyote katika mawasiliano.Ha ha mie sipendi unapompigia mtu anakupatia umsalimie yule mtu yuko nae nachukia mbaya
Mazingira gani? toa mifano. Hapa unaongea na magreti thinka bana sio unakata kata majibu tu

Hus mie sipendi sms kabisa nazichukia halafu huwa sijibu ukituma sms nakutwangia simu tumalizane
Rais gani anaweka kikao mpwapwa? si useme tu kama unamcheat figganigga bana. miakikao na raisi.