Mawakili wavamiwa Uganda, nyaraka zaibwa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,280
25,858
Ofisi za Mawakili wanaosimamia kesi dhidi ya Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda zimevamiwa na watu wasiojulikana.

Mawakili hao ni wa Amama Mbabazi anayepinga matokeo na uchaguzi mzima uliompa ushindi Rais Museveni. Mbabazi amefungua kesi kwenye Mahakama ya Juu nchini Uganda.

Wakati Wakili aliyevamiwa akidai uvamizi umefanywa na polisi,polisi wamekanusha tuhuma dhidi yao. Katika uvamizi huo nyaraka na laptop zimeibwa.
 
Back
Top Bottom