NyaniMzee
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 396
- 727
Wakati tunaangalia yanayojiri Zanzibar Leo katika uchaguzi tumeshuhudia Kituo kimoja kikiwa na mawakala zaidi ya mmoja wa chama kimoja katika Kituo. Welewa wangu ni kuwa kila chama kinakuwa na wakala mmoja. Hii imekaaje wanabodi? Kazi kweli kweli!!!