Mawakala wawe washika Dini

Mawakala wawe washika Dini

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Moja ya vigezo vya mawakala wa uchaguzi ingetakiwa wawe watu wa Dini wenye kuamini uwepo wa Mungu.

Hii itasaidia upungufu wa wizi wa kura, kwani wanaomwamini Mungu wasingekubali kurubuniwa kirahisi.
 
Ndivyo walivyofanya huku kwetu, Ni wale ambao hawanunuliki ndio wamependekezwa wawe mawakala
 
Moja ya vigezo vya mawakala wa uchaguzi ingetakiwa wawe watu wa Dini wenye kuamini uwepo wa Mungu.

Hii itasaidia upungufu wa wizi wa kura, kwani wanaomwamini Mungu wasingekubali kurubuniwa kirahisi.

Kuna mshika dini kuliko mchungaji msigwa? Lakini mzigo wa hela alipopewa gafla akatupilia mbali dini huko AKAANZA KUIMBA LOWASA SAFI.chezea hela wewe.Hao kwenye dini sio ndio kila siku wanaomba hela kwenye TV na radio? Wenye dini hao ulishawaona kwenye TV au RADIO wakamaliza kuhubiri bila kuomba hela?

Atahubiri wee mwishoni utamsikia anasema naomba helaaaaaaaa!!!!
 
Labda kINGUNGE
 
Back
Top Bottom