Mawakala wanahitajika

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,051
Habari, Mimi natengeneza na kuuza unga wa lishe kwa Jumla na rejareja

Nipo hapa kutafuta wasambazaji ambao ntawapa kwa Mali kauli kuanzia kilo kumi kwa bei ya 2500 kwa kilo wao wakauze 3500-4000

Kama utahitaji kuwa wakala wangu na upo dar es salaam weka namba nikuchek au piga 0714547830
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…