Mawakala wa ubuyu wa kashata na mbegu wanahitajika

Dream Queen

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
8,263
18,174
Ubuyu unapatikana Dar,
Wanahitajika mawakala wa mikoani,
Pia wanunuzi wa jumla.

Ukiwa interest, nicheki PM,
Kwa maelezo zaidi.
 
Ubuyu unapatikana Dar,
Wanahitajika mawakala wa mikoani,
Pia wanunuzi wa jumla.

Ukiwa interest, nicheki PM,
Kwa maelezo zaidi.
Ubuyu Dar au mikoa ya nyanda za Kati na Kati ndiko kuliko na ubuyu kwa wingi!

Bandiko lako lingekuwa na thamani zaidi kama ungeeleza faida za ubuyu na jinsi ya kuutayarisha uwe salama kwa matumizi ya binadamu
 
Ubuyu wa kumung'unya, sio huo unaodhani wewe,

Kama ulivyoona hapo nimesema Ubuyu wa Kashata/Kashata za ubuyu.

Wataalamu ndio wanajua umuhimu na faida za ubuyu mimi nisije nikapotosha.
 
Back
Top Bottom