TEH TEHIko poa! Lakini vipi umelipia hili tangazo? Rifanye hima kabura sija riarest riingize pesa kwenye riaccount No. TISS 07777111
Mhh hivi Mtanzania wa kawaida anaweza mudu hizi nyumba au ndo tunazidi jiwekea matabaka???
Ndinda tafadhali.... hapo sio south beach resort bali ni south beach residency!!!
Ulimislead watu mkuu,
well saidMaria hivi hao 'watanzania wa kawaida' ndo akina nani? and who said we should be equal anyway? Jamani tuache haya mawazo ya ujamaa ambayo hayatekelezeki. Kuna watu si mafisadi wala nini..wana-hustle usiku kucha to make a better future for themselves and their loved ones. Sasa unataka hao wasiishi kwenye nyumba nzuri simply because 'mtanzania wa kawaida' cant afford the same? Labda sijakuelewa....
'socialism doesnt mean poverty. To be rich is glorious' Mwanasiasa wa China aliwahi kusema...
hizi si nyumba za gezaulole za mutual dev ambao wanafilisiwa na cba bank?sidhani kama ni za south beach resort
sina uhakika lakini nyumba hizi anaweza kukaa yeyote ili mradi anaweza kulipa pango au anaweza kununua, nimeikuta hii huko huko likoulizwa swali linafanana na la kwako jibu lilikua hivimkuu hizi nyumba ni za nani? na kina nani wanatakiwa kuishi hapo? na kama zinauzwa ninawezaje kujumuishwa?
usiwe mbishi... south beach resort ni ile hoteli iliyojengwa kwenye makaburi ya wenyeji kwa nguvu za wakubwa na ndio ambayo mkurugenzi, dereva na staff mwingine walimchoma moto kijana wa mjimwema.. iko mjimwemahapana mkuu sijamislead mtu yoyote ni SOUTH BEACH RESORT labda kwa sababu jina linafana na kule walikomchoma mzamia disco, hawana adabu kabisa wale, kwa kuhakikisha zaidi gonga hapa kwa wenyewe mkuu
http://landplan-icon.com/2011/south-beach-resort-type-4/ , pia hapa http://landplan-icon.com/category/portfolio/rez/scheme/ nadhani utakubaliana na mimi kabisa kuwa kila nilichosema ni ukweli
usiwe mbishi... south beach resort ni ile hoteli iliyojengwa kwenye makaburi ya wenyeji kwa nguvu za wakubwa na ndio ambayo mkurugenzi, dereva na staff mwingine walimchoma moto kijana wa mjimwema.. iko mjimwema
Southe beach residency ni nyumba 110 zilizojengwa na wawekezaji wa ndani ambazo magufuli aliweka jiwe la msingi miaka hiyo na ziko gezaulole
IT DOESNT HARM KUKUBALI KUWA YOU WERE ILL INFORMED... NA LANDPLAN NI KAMPUNI YA HAO AKINA NURU