Mauzauza chumbani...!

Nitado naye tena then ndo namuuliza kama na kesho atafika tena.Ili nile pweza kabisa
 
.... unagundua umevaa kufuli tu na si kawaida na jana yake unakumbuka ulilala pekee yako,....Kwa haraka unageuka na unakumbana na mtu kumchunguza vizuri ni mwanamke/mwanaume .....naye pia anakufuli tu

aah, kumbe wote mmevaa makufuli yenu, sasa shida iko wapi hapa? ingekuwa kizungumkuti kama mngejikuta mko uchi halafu mambo yako mwake...
 
Ningemshukuru mungu kwa kunirahcshia kazi.
 
aah, kumbe wote mmevaa makufuli yenu, sasa shida iko wapi hapa? ingekuwa kizungumkuti kama mngejikuta mko uchi halafu mambo yako mwake...
kwa hyo mkuu unatamaan mauzauza hayo yakutokee enhe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…