Mauwaji ya kinyama Moshi

Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.


Enheeeee, ndugu zetu wameenza tena yale masuala ya Ufoo, aisee?
 
Tema mate chini.. Omba yasikukute haya mambo.
 
yesu na maria....nyie chaga mtamalizana aisee mapenzi sio fani yenu

#kunjani kuti
 
mambo hayo... ladies... hapana chezea wakina haika mbeeeh..... nouma saana
 
Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.

uchagan kawaida
 
Si mlikuwa mnajidai hamna wivu?!! Sasa imekuwaje tena? Eti mke anakaa Moshi mwanaume anafanya biashara Sumbawanga, Mwanza, Shinyanga n.k Eti Krismasi ndo anaenda kusalimia familia sasa yako wapi? Kaeni karibu na wake zenu jamani!!
 
Mwaka wao huu, mapenzi yamewashinda na chama chao hali kadhalika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…