Mauuaji ya Marekani vs Mauuaji ya Syria

Mauuaji ya Marekani vs Mauuaji ya Syria

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,088
Kwanza natoa pole kwa wahanga wa mauuaji yaliyotokea huko Marekani.
Kitu cha kustaabisha sana maisha ya wamerekani yanakuwa yanathamani kubwa kushinda wanadamu wengine popote duniani. Mfano huko Syria wapinzani kwa kusaidiwa na silaha za Marekani zaidi ya raia laki nne wamepoteza maisha yao uvamizi wa Marekani huko Iraq zaidi ya raia milioni moja wasiokuwa na hatia wameuwawa mpaka sasa. Huu unatakiwa kuwa mfano kwa wamerekani kuwa kila binadamu ana haki ya kuishi sio wamerekani 59 kuwawa iwe majonzi makubwa Marekani wakati huo huo jeshi la Marekani kwa kutumia silaha za Marekani zikifanya mauaji sehemu nyingi duniani.
 
Ni kanuni ya asili hata samaki wakubwa huishi kwa kula wale wadogo na inakuwa si habari ila ikitokea samaki wadogo wakala wakubwa basi hiyo itakuwa habari kubwa!
 
Kwanza natoa pole kwa wahanga wa mauuaji yaliyotokea huko Marekani.
Kitu cha kustaabisha sana maisha ya wamerekani yanakuwa yanathamani kubwa kushinda wanadamu wengine popote duniani. Mfano huko Syria wapinzani kwa kusaidiwa na silaha za Marekani zaidi ya raia laki nne wamepoteza maisha yao uvamizi wa Marekani huko Iraq zaidi ya raia milioni moja wasiokuwa na hatia wameuwawa mpaka sasa. Huu unatakiwa kuwa mfano kwa wamerekani kuwa kila binadamu ana haki ya kuishi sio wamerekani 59 kuwawa iwe majonzi makubwa Marekani wakati huo huo jeshi la Marekani kwa kutumia silaha za Marekani zikifanya mauaji sehemu nyingi duniani.
Dunia imejikwaa wapi [emoji15] [emoji47] ndio hoja mubashara kuliko kuendelea kulaumu laumu tu [emoji15] [emoji4]
 
Muuaji akiwa mwafrika au mwarabu au muislam, huyo ataitwa gaidi. Akiwa mmarekanj huyo anaitwa gunman, tena huyu wameenda mbali zaidi wakasema he had no criminal record, he loved country music. WTF
 
walahi sijakuelewa [emoji15]
 
Hapo nikisikiaga gunman na terrorist ndo nashindwaga kujua kabisa maana ya neno ugaidi
 
Kuendelea kum romance Israel..kwa mauovi yao plus mauaji ya taifa la kipalestina na distraction ktk kila kona ya dunia ... kume poteza mnoo images ya American ktk ubora wake ama ramani ya dunia... USA hawana heshima tena kama walivyokuwa awali.
 
Islamic is the best dinn. Let them say any thing
fe15ac72b428ea986397e9c077d6c66f.jpg
[emoji123] [emoji109] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom