Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
mwaga zingine mkuuSamahani kama ilishafika hii trick hap jf ila kama bado basi acha niwape hii
click Start menu then RUN
Type ... then enter (what happened
au kisha andika hivi .. then enter
au hivi . then enter
ukiandika hizo dot 3 itafunguka my computer
ukiandika hizo dot 2 itafunguka document and settings
mwaga zingine mkuu
Hii ni sababu ya root directory ya windows ina anzia kwenye platform ya windows 95.
weye c kweli mbona mimi nikitype inarum mozila firefox? natumia windows 7.
Ungedaadavua kidogo manake naona baadhi hawajakusoma fresh
Hiyo hata ukiclick dot zote mpaka mwisho lazima ifunguke my computer!!Samahani kama ilishafika hii trick hap jf ila kama bado basi acha niwape hii
click Start menu then RUN
Type ... then enter (what happened
au kisha andika hivi .. then enter
au hivi . then enter
ukiandika hizo dot 3 itafunguka my computer
ukiandika hizo dot 2 itafunguka document and settings