Aisee mie sio mjuzi sana ila nimekuwa nina kaiterest na mambo ya graphics. Napenda kukushukuru na ningependa kusoma mautaaalaam yako hapa bila haja ya kuku PM.
Lakini so far aksante sana nime google jina
Endrew Kramer nikutana na tovuti hii ya
videocopilot. kweli japo si mtaalam na siwezi kuwa mtaalam mkubwa wa graphics inaonekena "dogo" anatisha. lol na nilikuwa sijui kwenye mambo ya graphics jina hilo....
Sasa unaonaje ukitupatia link tu za hizo tutorial ili sisi wa kigoma tupakue tu