ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 950
Wakuu
Kwa wiki moja sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ambayo sio makali sana mkono wa kushoto na ukiinua mkono na kuubana kwenye eneo la kushoto ambapo kuna moyo, unahisi kama kukosa pumzi vizuri. Nimepima vipimo vingi ikiwemo ECG na ECO lakini hakuna kilichoonekana na maumivu bado nayahisi. Kama kuna msaada wowote kwa ambao wamewahi kukabiliwa na hali kama hiyo
Shukran