Maumivu ya tumbo usiku-msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya tumbo usiku-msaada tafadhali

Discussion in 'JF Doctor' started by Vivina, Nov 15, 2011.

 1. V

  Vivina Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Hi wana JF,mimi ni mgeni hapa naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa wa hili:dada yangu ana tatizo la kuumwa na tumbo usiku.hivi juzi tumechek tukagundua ana ujauzito,so ni wa mwez 1, mchana shwari lakini usiku ni balaa.je ni kawaida au inawezekana akawa na tatizo..natanguliza shukrani
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mwambie aende hospitali haraka kwani mimba huwa zina complication nyingi tu!
   
Loading...