Maumivu Ya Misuli Siku Za Mwanzo Za Mazoezi! Hupotea Baada Ya Muda Gan?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakheri Wadau;
Kuanzi Wiki Jana Nimeanza Zoez La Kukimbia Asubuh Na Jion 10 Km Kupanda Mlima Wa Mzumbe Ndani!!! Sasa Kama Kawaida Kunakuwaga na Yale Maumivu Ya Misul! Yaan Inauma Mbaya!! Leo Nilitaka Kuacha Yf Akaniambia Usiache zoez Ndo Linaingia!! Sasa naomba Kujua Haya Maumiv Mpaka Lin?? Na Mim Ctak Kuacha zoez
 
Maumiv yako hakika yatapunguza!
Sasaukihisi uchungu mno inaonyesha mabadiliko yanatokeo kwenye misuli yako, punguza mazoezi yako na kupumzika rohoni acha wasiwasi hayo ni hali ya kawaida tu

Kuna dawa niliwahi kuzimeza baada ya kushauriwa na daktari (zinaitwa PIROXICAM, meza kidonge kimoja kwa kila jioni unapotoka mazoezini) wakati nikisumbuliwa na maumivu ya misuli kama hayo ya kwako mara baada ya kuanza tena mazoezi ya kucheza mpira wa miguu kwa kasi ilhali nilikaa miaka minne bila kucheza.
Docta aliniambia kuwa misuli na viungo vilikuwa vinaniuma baada ya kukaa muda mrefu bila kushtua na kupata joto na umevishtua kwa kasi na kuuchosha mwili.
 
hahaha eti mzama wapi!maumivu yataisha baada ya wiki moja na misuli inauma kwa sababu haujafanya mazoezi siku nyingi pia mimi ni mwanamichezo nakushauri hivi acha kutumia dawa za maumivu yapo maumivu makali ambayo kweli kwa unyeti wake unaweza kutumia halafu umesema umekimbia km 10 nakuomba punguza huo umbali unaweza kuanza na km3 kwa 6 taratibu mwili unazoea wenyewe pia kimbia taratibu yaani kama joging halafu ukimaliza muda wa kukimbia tumia dakika 5 kunyoosha viungo vyako kama piga push up nk
 
Kwanza unakosea kuanza zoez zito kabla hujauwek mwili uanze kukubal mazoez, ungeanz na umbal mfup fany kidgo then una call it a day, then unaongeza dozi taratibu.

Ila kwa kuwa umeanz inategemea na mwil unavyo adopt fasta ila kawaid kama ulikuwa mfanyaj mazoezi, within siku 3 - 5 utaon ni kawaida, la msingi dont quit.
 
kaka hongera kwa kufanya mazoezi, nakumbuka kipindi hiko nabeba zege nilipewa ndoo nipandishe mchanga ghorofa ya tatu siku ya pili sikwenda jinsi misuli ilivyokaza, nikaenda kesho yake na diclopar kibao kwenye begi
 
Sabakheri Wadau;
Kuanzi Wiki Jana Nimeanza Zoez La Kukimbia Asubuh Na Jion 10 Km Kupanda Mlima Wa Mzumbe Ndani!!! Sasa Kama Kawaida Kunakuwaga na Yale Maumivu Ya Misul! Yaan Inauma Mbaya!! Leo Nilitaka Kuacha Yf Akaniambia Usiache zoez Ndo Linaingia!! Sasa naomba Kujua Haya Maumiv Mpaka Lin?? Na Mim Ctak Kuacha zoez
Vipi Maumivu yameisha au uliacha mazoezi yenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom