maumivu ya mifupa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maumivu ya mifupa

Discussion in 'JF Doctor' started by mwl frank, Nov 27, 2011.

 1. mwl frank

  mwl frank Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  ninasumbuliwa na maumivu makali kwenye goti na sehemu ya nyonga mguu wa kushoto tu,mwenye tiba asaidie.
   
 2. Black Rose

  Black Rose JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  me au ke?
   
 3. mwl frank

  mwl frank Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  mhusika ni me
   
 4. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naona kama maelezo yako ni mafupi sana kupata diagnosis, na ukikanyaga duka la dawa baridi tu utajikuta wanakuandikia dawa ya maumivu! kwisha!
  Nenda hospitalini, uonane na wataalamu wa mifupa! kuna maelezo watachukua, kisha vipimo! wanaweza kufanya na xray! halafu utapata tiba sahihi!
   
 5. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ipo dozi ya tiba hiyo ilinisaidia nipm nikupe maelekezo
   
 6. g

  gabagaba Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hi wadau! mm nna ugonjwa huo wa mifupa nikifanya kaz ngumu hua nackia maumivu mwln halafu nachoka sana nsaidien wadau!
   
Loading...