ability123
Member
- Aug 29, 2017
- 10
- 1
msaada, nasumbuliwa na mgongo na sifanyi kazi ngumu.nafuu yake niekewe kitu kizito cha kilo zaidi ya 50 niwekewe mgongoni ndio najisikia nafuu au MTU anikanyage kwa miguu. Mwenye uzito wa kutosha sasa sijui tatizo ni nn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app