Nenda kwa daktari atakushauri kutokana na mahojiano mtakayofanya nae.Salaam wadau,
Wadau naomba kujuzwa, nini chanzo cha maumivu ya kiuno??
1. Je ni symptom ya ugonjwa fulani mwilini?
2. Nini tiba yake?
Please kwa yeyote mwenye kufaham hili jambo, naomba anipe ufafanuzi.
With thanks.