Maumivu ya Kitovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya Kitovu

Discussion in 'JF Doctor' started by AljuniorTz, May 23, 2009.

 1. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tafadhali naomba kujulishwa yepi ni matibabu sahihi ya kuondoa tatizo la maumivu ya kitovu kwa wanawake; hilo tatizo halijalishi anakaribia period au yupo kawaida. Huwa tatizo linatokea tu (for 1-3 days) then baadae linapotea lenyewe baadae; ila maumivu yanakuwa makali hadi mtu analia km hana roho ngumu ya kuvumilia.
   
 2. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  age yake?
  ilianza lini?
  ulifanyiwa upasuaji huko nyuma?
  relation na chakula?
  homa?
  amepungua uzito?
  matatizo mengine ya kiafya?
  kajaribu dawa/vipimo?
  kisha tutakuwa na picha kamili na ku-suggest matibabu
  la sivyo muwahishe kcmc ya huko aliko.
   
 3. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Majibu ni hayo niliyoya-BOLD
   
 4. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Periods ku-overlap kama hivyo - normal
  Maji moto, y? mwambie anywe ya kawaida tu (yeye anadhani ana tatizo katika tumbo la uzazi, hasa kunywa maji ya moto haiwezi kumsaidia kwani hiyo ina-affect tumbo la chakula!)
  Asali haina topical analgesic effect, kwa hiyo anapata psychological relief.

  Diagnosis: Psychogenic pain.
  Treatment:
  Kuwa karibu naye, atakuwa na stress fulani katika maisha, relationship, kazi au financial - ikiwa solved hiyo basi mambo yatakuwa mswanu kabisa.
   
Loading...