Maumivu ya kitovu kwa mwanamke

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,521
6,006
Siku zote amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi...
Lakini leo hali imekua tofauti, yuko kwenye hedhi lakini anasikia maumivu makali kwenye kitovu(kwa ndani)
Je, hali hii inasababishwa na nini..?
Nini kifanyike kupunguza maumivu..?
Nini tiba yake..?
 
Huu UZI unapuuziwa au siku hizi wataalamu hawaingii mara kwa mara jukwaani..!?
 
Kama mleta Uzi umepigwa ban ushauri utapata VP?
Utapata majibu baada ya kutoka kifungoni
 
Back
Top Bottom