paka chongo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2016
- 248
- 193
Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
MeJinsia yako plz
Nitumie dawa gani itakayo nisaidiaMmmh sio jiwe kwenye Figo kweli??
NdioUnatumiaga Sana energy drinks?
Hospital utapata majibu ya maswali yako.Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
No. Nenda hospital dawa inaweza haribu mambo huko ndani.Nitumie dawa gani itakayo nisaidia
Nilifika hospital na nimekundulika kuwa na mawe kwenye figo nipo kwenye matibabu ssMnapima kwa maandishi? Macho?? Ndio maana wagonjwa wengi wakifika hospital ni too late…
paka chongo umefanikiwa fika hospital?
Vizuri, get well soon.Nilifika hospital na nimekundulika kuwa na mawe kwenye figo nipo kwenye matibabu ss
Pole sana , ulienda hospital kubwa? Maana siku hiz hospital ndgo ndgo nichangamoto sanaNilifika hospital na nimekundulika kuwa na mawe kwenye figo nipo kwenye matibabu ss
Vidonda vya tumbo hivyo mpaka kesho utakuwa unaumia mgomgoni upande wa bega kupanda juu. Au nadanganya huna vidonda vya tumbo?Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
dawa ya maji inaitwa "Citel'Nitumie dawa gani itakayo nisaidia
CcbrtPole sana , ulienda hospital kubwa? Maana siku hiz hospital ndgo ndgo nichangamoto sana