Maumivu makali chini ya kisigino

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
Naombeni msaada kuna kipindi huwa nasikia maumivu makali chini ya miguu yangu hasa upande wa visigino kama naungua na moto vile..shida ni nini?nilikwenda hospital wakaniambia labda sababu ya kusimama mda mrefu nikapwa dawa nanikabadilisha viatu navaa laba mda wote lakini bado tatizo liko pale pale..
 
Back
Top Bottom