Maumivu baada ya placenta kujifungua

Maumivu baada ya placenta kujifungua

da viper

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
158
Reaction score
43
Habari wadau,

Mwenza wangu analalamika maumivu ya tumbo baada ya kujifungua kwa muda mrefu sasa takribani miezi 8 sasa

Anasema ni ule upande ambao mtoto alikuwa analalia akiwa tumboni kuna maumivu fulani hivi ambayo huja na kuondoka

Sasa sijui tatizo ni nini?

Naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni
Lakini Wakati Unakwenda Hospital
Eleza Hapa Kajifungua Kawaida Ama Operation
 
Back
Top Bottom