mie navyojua ni kwamba wanaume warefu wengi wao ni vishoiya, malaya, hawana utu hata tone, sio waaminifu kabisa, hawafikirii mbali, akili zao ni fupi mno, wanapenda mzaa kupita kiasi, wavivu, wababaishaji, matapeli, hawajui mapenzi, wengi wao hawajaenda shule yaani sio wasomi, wambea, wanafki, wengi wao wameolewa na wanawake wanapelekeshwa, wakiwa makazini mwaowalipuaji wa kazi,
wengi ni mafala, wanaoaoa maranyingi, ya nikiwatafakari napata kichefuchefu khghaaaaa aaaa bwaaaaa!